Tuesday, May 21, 2013

Mavazi ya ndani ya wapenzi wetu - #TrudysPureFacts

"Heat lowers sperm count. The temperature in the scrotal area can affect sperm production. If you want to produce more sperm, fertility experts recommend not wearing thick underwear or tight short."

- Yaaani kwa lugha nyepesi rafiki zangu ni kwamba; wataaalam wanasema, joto hupunguza idadi ya manii kwasababu huaribu utengenezaji wake. Hivyo basi wanashauri mwanaume avae chupi au boxer zisizombana sana maana husababisha eneo la siri kuwa najoto ambayo huathiri utengenezaji wa manii.

 So ladies,  kwa  wale ambao you are trying, you know! to get a baby?? do the needful..next time you buy your man a pair of boxers....be sure it not tight and its made of 100% cotton coz spandex inaleta joto balaa hapa Dar, na pia huondoa harufu mbaya itokanayo na jasho.

Better yet, next time  ukipita Trudy's Intimate Apparel Shop kujichukulia zako mchukulie hata moja. Karibuniiii!


 
Cotton Boxer Shorts
 
 
Cotton Boxers
 
 
Now AVAILABLE at Trudy's Intimate Apparel for that Special Person in your Life

1 comment:

  1. napenda kuuliza na sisi wanene wenye maziwa yaliyo lala tunaweza kupata km hizo na zikatukaa vizuri? km ndio nijibu ili nije nichukue hata mbili.

    ReplyDelete