Tuesday, October 1, 2013

Je, wazijua faida za kuvaa Corset?

Habari zenu #TeamTrudy's,

Baada ya kukuonyesheni corset tops sasa napenda nikuelezeni faida ya kuvaa Corsets kwa nyie akina dada, mafashonista, warembo, ladies wa ukweli mnaojiopenda na mkapendeka.

 
Unajua Corsets can help and heal people in many ways – physically, mentally, emotionally. It affects much more than our egos and bank accounts. Sometimes corsets become our therapy, our medical devices, and to some, even part of our identity.Kama ulikua hulijui hilo shoga sasa ujue haya sasa tufuatilie mtririko huuu.....

Corsets are helpful in minimizing menstrual cramps in women haswa kwa wale ambao wakati wa periods zako tumbo linauma…
 
Kwenye kupunguza maumivu, zina saidia minimize back pain and correct posture, to help those with past injuries (e.g. car accidents, slipped discs), neurological disorders (e.g. tics, ataxia) na kukufanya u- relax na kuwa mcheshi zaidi 
 
 
Corsets or corset tops are sometimes used by singers as a support; they provide resistance against which the diaphragm can push, which can help the singer achieve higher or more powerful notes. Ndio maaana macelebrities wengi kama Keri Hilson, Rihanna, Beyoncé na Britney Spears wanapenda kuvaa corset sana wakati wako jukwaani si kwa ajili ya fashion pekee yake ila kwa sababu hii pia.
Britney Spears akiimba jukwaani akiwa amevaa Corset top not only as a fashion symbol ila pia kumsaidia kutoa sauti kali na yenye nguvu 
 
Corsets are used as a weight loss aid – they do not allow much expansion of the stomach, thus helping to control appetite and reduce food portions. Sasa sio ukajibane tumbo uache mazoezi na kula vizuri shosti....hii inasaidia tu.
 
Perhaps the most prominent would be the fact that women today are liberated and empowered to wear what they like. As in the west, African women these days are not forced to comply with hard fashion rules; they are free to choose what to wear and what not to wear, in almost any combination and this is why I love corsets paired with trousers maana sisi waafrica na shepu zetu tunapendeza zaidi kwenye suruali zaidi ya wazungu you know! Na kama umezipenda, basi karibu sana Trudy's Intimate Apparel Store ujichagulie za kwako kwa bei poa.
Trudy's Intimate Apparel Store tupo Mwenge nyuma ya jingo la Jamirex/Azania bank baada ya masjid ya Mwenge na kabla ya kufika Tamal Hotel. Call 0653 005544
 
 

46 comments:

  1. Mmetisha dada Trudy

    ReplyDelete
  2. mimi nataka jamani how much nipo dodoma

    ReplyDelete
  3. thank's for your share, i like your post ^___^
    two thumb up for you

    ReplyDelete
  4. I did not know all these benefits of wearing a corset, but now that I have read this I am thinking that I should purchase corsets for myself. In the past I wore and modelled ladies full brief nylon panties in photos and videos that are all available and Labeled FREE for Re-Use on my blog and YouTube channel:

    My panty-modelling and review blog: Full Brief Panties
    My YouTube: misterpantybuns's Channel panty-modelling+review videos

    ReplyDelete