Tuesday, September 24, 2013

Je wazijua Corset Tops!!!


Habari zenu mashostito wangu, leo tutaongelea corsets na tutaanza na corset tops. So  tuanze hivi; Corset tops ni nini??  

Corset Tops are sexy garments fitted to the torso ( yaani kiwiliwili) and have a very slimming effect on a woman's figure, designed to make a woman look curvy by holding in the waist. Yaani inakupa mwonekano wa umbo au figure namba nane (8).


Most corset tops zimetengenezwa au zimeshonwa out of stretch satin or lace, often fitted with hook and eye closures that run up the back or sometimes they are laced up. Zimeundwa zivaliwe juu ya kiwiliwili chako so that kiuno chako na hips zako zionekane vizuri




Corset tops are worn under a suit or clothing to give the feeling of sensuality or to provide an extra lift and be helpful as bridal lingerie under the dress, providing that slimming effect and lift you want for that special occasion. Au unaweza kuvaa corset top na jeans yako au hot pants zako na bado ukaonekana sexy sana.

Available at Trudy's
 
Celebrities  ambao tunawafahamu that love wearing corsets tops  ni  kama Rihanna, Keri Hilson na Beyonce. Waangalie wakimix corset tops na nguo zingine wanavotoka
 
Rihanna wote tunamjua kuwa ni fashionista kweli, hapa kavaa Corset top na pants

Corset top na skirt  na bado katokelezea kweli
 
Keri Hilson ye ni mmoha wa madada wanaopenda kuvaa corset tops pia
 
 
 Mrs. Carter pia hua hapendi kuachwa nyuma.

So if you wanna look like our model in the first three pictures au kutoka na swagga za divas tuliowachagua, please pita Trudy's Intimate Apparel Store - Mwenge  nyuma ya jingo la Jamirex ujipatie yako....kama kawaida kwa bei poa.

Don't miss mtiririko wa fashion info za Corsets na faida unazopata ukizivaaa, just remember kitu kimoja, as much as they are intimate garments you can also wear them katika occasion mbalimbali depending umevaaa corset ya aina gani.

Haya wapenzi karibuni and stay tuned for more......





22 comments:

  1. Hi! Nahitaji corset ila nipo mwanza! Nahitaji nitakayoweza kuvalia juu nguo unanisaidiaje??

    ReplyDelete