Wednesday, July 31, 2013

Just in for the festive season!!! - Panties

 
Za siku jamani fans wote wa Trudy's Intimate Apparel, I  hope mko poa mwaya!!! Bila kuchelewa, si mnajua mfungo ndiyo huoooo unakwisha na Idd inajongea....its time to spoil yourselves tena ladies na kama kawaida yetu Trudy's tumewatayarishia viwalo babu kubwa vya size, material na style mbali mbali kwa ajili yenu mashostito mnaojipenda na kujua  umuhimu wa kupendeza ndani na nje!!!
 
Chupi zenye cut ya kawaida
Polka Dots mixed na lace at the back
 
Florals siku zote zina mvutto wa kipekee
 
 
 
Lace ipo mahali pake 
Animal prints always bring the sexy back
 
Madoido ya staki shida upande mmoja  zipooo
 
 
Polka dots za kila aina zipo za kutosha
 
 
Black is always beautiful jamani
 
Kila design na size zipo....kuanzia ndogo mpaka kubwa kuliko
 
 
Material laini sana zinazo massage mwili zipooo!!!
 
 
 
Za 100%  Cotton  nazo zipo katika rangi tofauti
 
 
 
Wenye kujua rangi waniita hii powder pink
 
 
Thongs na G-strings zipo!!!! 
 
Thong za Cotton kwa wenye ngozi sensitive
 
 
 
 
Hot red T-stings zipoo!!
 
 
Purple is always cute
 
 
 
Kitu white!!!!
 
Florals hazikukatai siku zote
 
 
Na kwa leo, hizo ni chache tu za kukupa idea dukani kumependezaje. Bei zetu cheeeeee kuanzia 3000 mpaka 5000 tu!!!!!!
Karibu sana ma-fans wetu, kuwahi ndo ujanja siku hizi karibuni sana dukani kwetu Mwenge nyuma ya jingo la Jamirex na kabla hujafika Tamal hotel...
Kwa maelekezo zaidi piga 0653 005544