Monday, October 22, 2012

Bra Fitting/ Kujipima Sidiria....

Ikiwa mwendelezo wa makala zetu za October, mwezi wa Cancer awareness, leo Trudy's tunakuletea topic inayohusu vipimo vya vifua na matiti yetu.Hujiwahi tembea ukwambona mwanamama au mwanadada amevaa sidiria/bra afu nyoyo zimesambaa kila mahala??? Well, ni kwasababu wengu hatujui size zetu wala hatujui jinsi ya kujipima ili tujue size zetu za vifua na manyoyo/matiti.

 
# Trudy’s PureFacts!!
 You should know kwamba katika maisha yako kifua na matiti yako yatabadilika ukubwa kwa wastani mara 6.Hivo ni muhimu jifunza jinsi ya kuchukua vipimo vyako.
 
You should also know that not only will a properly fitted bra feel more comfortable, but it will make your clothes fit and look better.Yaani ukivaa sidiria iliyo size yako na inayobeba matiti yako vizuri, nguo zako zitaonekana zimekukaa vizuri kifuani na utaonekana nadhifu zaidi.
 
So, kitu cha kwanza ni kujifunza jinsi ya kufanya hizo hesabu ili ujue size yako ya Sidiria/Bra:


1. Stand straight and relax. Na si usimame umevuta pumzi kama unataka kupuliza mishumaa kwenye keki birthday shoga yangu....we simama ukiwa umenyooka ila ukiwa umechill yani ume- relax.

2. Kwa kutumia tape measure ile anayotumia fundi cheherani [hili zoezi unaeza lifanyia kwa fundi pia ukipenda kama huna hivi vipimo home kwako] anza kujipima kwa kuanza kupitisha chini ya matiti yako [Yes,Using a soft tape measure, measure all the way around your body, placing the tape measure right beneath your breasts] andika kwenye karatasi kwa mfano: 31 ijumulishe kwa 5 utapata 36...Hongera sana....sasa umejua mzunguko wa kifua chako ni 36!

3. Next step: Kupima cup size, yani size ya chakula cha mtoto AKA titi wakati ukiwa umevaa bra/sidiria yako. Jipime kuzunguka kifua chako kwa juu ya matiti yako kabisa bila kujibana lakini...na kwa mfano kipimo kikaonesha namba 38.

4. Basi toa namba ya kifua chako ile uliyojipima juu na ile mwamzoni chini ya matiti [kwenye uvungu wa matiti yako] Kwa hiyo itakua hivi: 38 - 36 = 2

0=AA
1=A
2=B
3=C
4=D
5=DD
6=DDD
 

Sasa hilo jibu litakupa kipimo halisi ya bra/sidiria size gani unatakiwa uvae kama tulivoonesha hapa chini:Hivo basi, unatakiwa ununue brazia/sidiria size 36B
 
Haya jamani, natumani umejifunza jambo hapo......ila kama inakuwia vigumu...karibu Dukani kwetu Mwenge tukupime uone na ununue bra/sidiria nzuri zitakazokufanya ujisikie rahaaaa........namba zetu: o653 005544 au kwa mawasiliano zaidi tucheck kwa email:info.trudysintimateapparel@gmail.com

24 comments:

  1. kwa mara ya kwanza nakutana ya hii blog, naomba mnifahamishe mikoani tunazipataje

    ReplyDelete
  2. Piga 0653-005544 hizo namba zao hapo juu ma dia,ukiwatumia pesa kwa njia ya simu wanakutumia mzigo ulipo bila shaka.

    ReplyDelete
  3. kwa mara ya kwanza kupita kwenye hii blog nimejifunza mengi stay blessed

    ReplyDelete