Monday, October 22, 2012

Nightwear: Night Suits

We at Trudy's tunauza nguo za kulalia, za beach, za kuogelea na cha msingi kabisa ni Chupi na Bra/Sidiria za material mbalimbali na design mbalimbali na kwa majira mbalimbali, hivyo basi tunakusihi; tembelea blog yetu na duka letu kila mara uweze kuona tutachokua tumekuandalia kila mara....
Kwa leo tutaanza na.....Night Suits za top na kaptula za cotton...


Hapa model wetu amevaa moja ya products zilizopo dukani kwetu....don't you just love it???
Ofcoz zipo design tofauti na rangi  na size tofauti tofauti katika stock yetu....



I think you agree with me nikisema this kind of night suit is definately sexy kuliko kanga tunazovaa haswa on those lazy weekends tunapokua tunaangalia repeats za akina maribel na wenzake...

Aisee kwa mwanamke/binti ku-look sexy ni muhimu......you know what they say about first impressions eh? sasa imagine boyfie au jamaa unayemuadmire balaa anakuja ghafla asbuhi na kukutwa umependeza hivi......haahahaha! Guaranteed lazima udenda umtoke.

These beautiful cotton night suits are very comfortable and allow you to be as playful as you want.They are perfect for Tanzanian weather, hata uwe unaishi Mbeya, Iringa, Mwanza hata Dar es Salaam...hali ya hewa yoyote inafaa.

Sasa natumaini picha inakuijia kichwani eh?? Pata yako sasa basi.....karibu sana dukani Trudy's Intimate Apparel  -  Mwenge, Dar es Salaam. Namba ya Simu: 0653 005544

1 comment:

  1. so nice tunaomba mtuambie na bei bas tujue tunajipangaje hasa kwenye chupi na bra...maana wengine tulizoea za mtumba elfu 2...plz

    ReplyDelete