Sunday, May 26, 2013

Just in, and in limited Stock

Hellos Trudy's fans and supporters,
 
Karibuni dukani kwetu Mwenge tuna mzigo mpya na uko in limited stock. Yaani ukinunua sasa hivi mtakuwa wachache wenye products hizi kwa sasa hapa Dar.
 
Underwears
 
Bras
 
Bra Top Camis 
 
Our dear esteemed customers, karibuni sana mpate vitu vya ukweli vikiambatana na service nzuri. Remember all these are in limited stock.
 
For more info contact: 0653 005544 or info.trudysintimateapparel@gmail.com
or visit our facebook page: www.facebook.com/TrudysIntimateapparel and our twitter handle being @TrudyIntApparel
 
 

Tuesday, May 21, 2013

Mavazi ya ndani ya wapenzi wetu - #TrudysPureFacts

"Heat lowers sperm count. The temperature in the scrotal area can affect sperm production. If you want to produce more sperm, fertility experts recommend not wearing thick underwear or tight short."

- Yaaani kwa lugha nyepesi rafiki zangu ni kwamba; wataaalam wanasema, joto hupunguza idadi ya manii kwasababu huaribu utengenezaji wake. Hivyo basi wanashauri mwanaume avae chupi au boxer zisizombana sana maana husababisha eneo la siri kuwa najoto ambayo huathiri utengenezaji wa manii.

 So ladies,  kwa  wale ambao you are trying, you know! to get a baby?? do the needful..next time you buy your man a pair of boxers....be sure it not tight and its made of 100% cotton coz spandex inaleta joto balaa hapa Dar, na pia huondoa harufu mbaya itokanayo na jasho.

Better yet, next time  ukipita Trudy's Intimate Apparel Shop kujichukulia zako mchukulie hata moja. Karibuniiii!


 
Cotton Boxer Shorts
 
 
Cotton Boxers
 
 
Now AVAILABLE at Trudy's Intimate Apparel for that Special Person in your Life

Tuesday, May 14, 2013

Je, waijua Camisole Bra Top? - Part I

Kwanza naombeni radhi kwa kukaa kimya kwa muda ila si wanasema "Kimya Kingi Kina Mshindo, right???" Anyways, tulikua tunawaandalia mambo mazuri TRUDY’S fans wote.

Haya mashostito wangu, kwa wale wachache wasiojua bra top cami nini basi LEO tutawaelewesha maana yake ila the best is yet to come in part II, so usikose uone kibongo bongo jinsi gani unaweza pendeza ukivaa kiwalo hiki and let you not forget, this is also an intimate apparel.

Tuanze sasa, the term camisole bra most commonly refers to a full-length camisole with a built-in bra. Sometimes, however, it refers to a bra, normal or slightly longer than normal in length that has fabric covering the cleavage to mimic the look of a camisole, mpo hapo mamiie wangu???

 

Sasa mashostito, its important ujue kuna camisole bra tops, ranging from lacy camisoles to body shaping camisoles to plain cotton camisoles for everyday wear, and everything in between. Depending on the style and the fabric used, a camisole bra can be worn as an undergarment, as a complement to an open shirt or a shirt with a deep neck, or by itself as a stand-alone top on hot days na si mnajua hali ya hewa ya kwetu hapa jamaniii?

 


Haya somo lingine; the type of bra that is built into a camisole is usually called a shelf bra. Shelf bras lend some support to the garment, eliminating the need to wear a regular bra, reducing visible bra lines and ensuring that no extra bra straps are visible though najua kuna mashotito ambao wanapenda kuonesha bra straps zao, si unajua tena mwanamke vionjo?? A camisole bra can either be made with molded cups or with a simple band of elastic that functions similarly to a sports bra. Some camisole bras offer underwire support, while others rely on elastic or firm cups. Sometimes, camisole bras are sized based on shirt size rather than cup size, but usually the reverse is true.


Kukata mzizi wa fitina kwa wale waoga kujaribu mambo mapya. Tambua that many full-length camisole bras are made for everyday wear, commonly as part of a layered look, such as under a sheer shirt or open sweater, mpo hapo?? A long or short camisole bra is also a popular choice for women attempting to conceal excess cleavage while wearing a shirt with a low neckline "yaani kuficha chakula ya mtoto tena unapokua umevaa suti ya ofisini or anywhere else ambapo usingetaka attention iende kwa chakula ya mtoto".


Na socially je??? Mmmmh, good question. Well,  Lacy or printed camisole bras can be used to spice up an outfit for a dressier occasion. Pia Some brands offer especially supportive camisole bras designed for fitness and sports kwa wale wa naopenda mazoezi au kwenda GYM si unajua mwanamke mda wote lazima uwe sexy!!!

Some brands offer seamless camisole bras to eliminate visible bra lines, often while also providing body shaping benefits.So at Trudy’s Intimate Apparel tumejaribu kuwaletea za aina tofauti ili kuweza kurespond kwa needs za wateja wetu mbalimbali ,kuanzia ya kushindia home, kulalia, kumtega mmeo/bf or anyone you have in mind or just simply look and feel sexy.

Na kingine cha kufahamu ni kwamba a body shaping camisole bra uses snugly fitting, supportive fabric in the body of the garment as well as the bra to reduce or eliminate unsightly bulges and rolls on the abdomen and back. For this reason, these are commonly seen items in plus-size shops, natamani tuwe na maduka haya bongo yetu hii jamani. Additionally, some women with larger breasts may prefer the firm fabric offered with the body shaping camisole bras, because they lend extra support in the breast area as well as the rest of the torso.

The bottom line ni kwamba bra top camisoles ziko comfortable sanaa kupita maelezo maana zinakuruhusu kuonyesha umbo lako vizuri yaani mabega, shingo kwa mashoga zangu walijaaliwa shingo, bila kusacrifice support ya mwili if you know what I mean.

Kwa leo tusimalize utamu, hiyo ni intro tu mashostito wangu mnaojipenda, mnaopenda fashion na kwenda na wakati.Stay tuned for part II tutakuonesha ni jinsi gani unaweza kupendeza ukivaa Camisole yako.

So till then, tunakuambia karibu Trudy's Intimate Apparel; Tupo Mwenge nyuma ya jengo la Jamirex....karibuniiiiiii!