Thursday, November 1, 2012

Bra/Sidiria Care: Long Live Your Bra

Tukiwa tunaaga mwezi wa awareness ya Breast Cancer tunakuletea tena mfululizo wa mafunzo/mawaiza au kuelezana kuhusu kama kichwa cha habari kinavosema....matunzo ya bra yako....Sasa ndio you have just found it! The perfect bra. It fit's. It flatters. It's fabulous. Now, how do you keep it that way? Your new bra won't last forever but, by following the care instructions, you can prolong its life. With proper care, an everyday bra will last six months to a year.

Unatakiwa ufanyeje: Bra Washing
Bras should be washed kila baada unapoitumia maana mafuta au lotions na perfume ulizojipaka mwilini ukichanganya na jasho na deodorant yako zinaweza weka doa kwenye sidiria yako/bra [Natumaini ushamwona shoga/shoti ako moja bra yake ilivobadilika rangi] vyote hivi pia huweza punguza nguvu ya elastic iliyopo kwenye straps za bra zako.So shosti, kufua kila mara muhimu maana itaepusha uharibifu huu. Pia when washing, ni muhimu kufuata instructions za manufacturers na kama bra yako aina basi fuatilia hii topic ujifunze zaidi.



Weka maji (yasiyo ya moto) kwenye ndoo or beseni…then loweka kidogo tu isizidi 5 MINUTES, ndiyo….nimesema isizidi dakika 5 kama unatumia sabuni ya unga! Kua mwangalifu unapotumia sabuni ya kipande maana haiyeyuki haraka na usiposuuza vizuri tu itaharibu rangi ya bra/sidiria yako. Haya tuendelee…..Sugua taratibu na sio kama unafua kanga au shuka jamani. Ukimaliza suuza yani rinse vizuri na maji baridi( siyo yaliyotoka kwenye friji) usikamue kama kanga au jeans….ikandamize tu mikoni maji yatoke.When you are done kinachofuata ni kuanika/kukausha bra yako.




Kumbuka:
Manufacturers understand their products. Care instructions, while brief, are always right. It's a good idea to follow instructions na kutofua bra zako na nguo zinazotoa rangi.

Wataalam tunakushauri kuwa: "Bras should always be line dried,"  Usikaushe kwa pasi, kuweka chini ya godoro wala njia yoyote ile zaidi ya kuanika kwenye kamba au sehemu iliyo flat kama kwenye majani labda (chunga wadudu tu) na siyo kwenye mawe  maana utakua unaikaanga jua likiwa kali. Usianike kwenye jua kali sana maana rangi zitapauka ila cha muhimu fuata maelezo uliyowekewa kwenye lebo bibie.




 

Mwanamke usafi babu…..sio ukishazianua you  toss them in the drawer…hazitadumu kabisa…kwanza kama za wire zitapinda…


panga vizuri na kama huna kabati kua mbunifu kama nlivokuonesha kwenye picha hapa chini....




What you should remember bibie:
  • Wear bras in rotation. If you find a bra that you love, buy several bras the same size. Bra manufacturers frequently discontinue styles.
  • Do not overwear your bra mpaka mpenzi wako akukariri. The bra will loose the form and structure afu utakua hupendezi.
  • Signs of an overworn bra include: wrinkles in bra cup, rides up back, or slips off the shoulders.
Sasa warembo if you follow these tips and those perfect new bras will stay that way much longer. Na utafurahia kuzivaa feeling all sexy as you should be feeling.....na kumbuka duka letu [Trudy's Intimate Apparel] lipo Mwenge, nyuma ya Jamirex Buliding [Azania Bank] baada ya Msikiti wa Mwenge na kabla ya Tamal hotel....contacts: 0653 005544, info.trudysintimateapparel@gmail.com