As we approach the end of October, the month of Breast Cancer Awareness, we at Trudy's still bring you topics on breasts, yes ladies.....breasts.
Ladies, have you ever heard of a pencil test?? Je, ulipimwa kwa kutumia kipimo hiki wakati unakua toka kwenye utoto/usichana kwenda kwenye uwanamke??/
Let me tell you about it na ntatafsiri kwa kifupi kwa wasiolewa kiswahili kidogo.....
Ndio, kweli kuna kipimo kinaitwa Pencil Test, kiko simpo tu wala usistuke….ni kipimo kinachoonyesha kama msichana/binti anahitaji kuaanza kuvaa sidiria/bra au bado muda wake haujafika. Kwa kawaida penseli inawekwa uvunguni mwa titi, penseli ikikaa tu na isianguke, binti anakua kafeli test hiyo hivo anahitaji kuanza kuvaa sidiria kupiga jeki matiti yake ila pale penseli inapowekwa na ikaanguka chini basi binti kafaulu hiyo test na hivo bado manyonyo yake yananguvu ya kusimama yenyewe na hayahitaji bra/sidiria.
********Mkumbuke tu kua hiki kipimo hakihusiani na size ya
sidiria/bra*******
Yes there is actually a real test called the pencil
test. This is a very simple test to determine if a girl actually needs to
wear a bra or not. It has nothing to do with bra size. The test is to lift
your breast up and place a pencil underneath it in the crease where your
breast tissue meets the chest tissue then release your breast and allow it
to hang in it's normal position. If your breast has enough hang to hold
the pencil in place then they are large enough to require the use of a
bra, but if the pencil falls out from under the breast then they are not
large enough to need a bra.
Ok, natumanini mmenipata sasa, na mnaifahamu vizuri pencil test.......kazi kwenu.......